Msaada jinsi ya kuandika barua ya kazi

Msaada jinsi ya kuandika barua ya kazi

kajamaa kadogo

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2018
Posts
2,707
Reaction score
6,437
Naomba msaada wakubwa

kama kichwa cha habari kinavyo jieleza
naombeni msaada mambo ya kuzingatia katika uandishi wa barua ya kazi ila katika kampuni ndogo tu na ninacho hitaji ila anuani hinakaje na inataka vitu vingapi na mambo muhimu ya kuzingatia tu

Nawasilisha wakuu

"samahani pia kwa muandiko wangu mbovu"
 
Barua unasoma shule ya msingi na unasoma sekondari, Bora ata ungesema elimu yako form four umeshindwa kuandika kw kiingereza kidogo ningekuelewa lakini haujui anuani kwenye barua zinakaa vipi, Elimu yetu sio mbaya sana lakini wanafunzi ni vilaza kuliko elimu yetu
 
daah kashfa au sisi tusisoma tunasema kibri daa aya bro mi kilaza
 
Jina lako
Anuani yako
Tarehe

YAH: MAOMBI YA KAZI KWENYE KAMPUNI ........
Husika na kichwa cha habari hapo juu.
Mimi kajamaa kadogo nina umri wa miaka 20, ni mtanzania , elimu yangu ni .......
Naomba kazi kwenye kampuni yako ya ........ Nitashukuru ombi langu likikubaliwa
Wako mtiifu

Kajamaa kadogo
Hapa una angusha
sahihi yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ahsante sana kamanda
 
Hongera kwa kumsaidia ndugu,japo baadhi wanamkejeri
 
Back
Top Bottom