kajamaa kadogo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2018
- 2,707
- 6,437
daah kashfa au sisi tusisoma tunasema kibri daa aya bro mi kilazaBarua unasoma shule ya msingi na unasoma sekondari, Bora ata ungesema elimu yako form four umeshindwa kuandika kw kiingereza kidogo ningekuelewa lakini haujui anuani kwenye barua zinakaa vipi, Elimu yetu sio mbaya sana lakini wanafunzi ni vilaza kuliko elimu yetu
Pole sana, subili watakuja watu hatufananidaah kashfa au sisi tusisoma tunasema kibri daa aya bro mi kilaza
ahsante sana kamandaJina lako
Anuani yako
Tarehe
YAH: MAOMBI YA KAZI KWENYE KAMPUNI ........
Husika na kichwa cha habari hapo juu.
Mimi kajamaa kadogo nina umri wa miaka 20, ni mtanzania , elimu yangu ni .......
Naomba kazi kwenye kampuni yako ya ........ Nitashukuru ombi langu likikubaliwa
Wako mtiifu
Kajamaa kadogo
Hapa una angusha
sahihi yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera kwa kumsaidia ndugu,japo baadhi wanamkejeriJina lako