Msaada jinsi ya kuandika barua ya kukariri darasa kidato cha kwanza

Msaada jinsi ya kuandika barua ya kukariri darasa kidato cha kwanza

Dady6

Member
Joined
Mar 20, 2020
Posts
13
Reaction score
12
Wakuu naombeni msaada jinsi ya kuandika barua kwa mwanafunzi anaehama shule lakn pia anapohamia anakariri darasa.
 
Ungewauliza walimu wake kwakua watakua wameshakutana na hizo barua.

Ila kama wewe ndiye baba yake mzazi mkazanie sana mtoto kusoma
 
Kukariri darasa ndiyo nini? Kurudia?
 
Back
Top Bottom