Msaada jinsi ya kuandika barua ya kuongeza mshahara ukiupgrade elimu kwa sisi waalimu!

Msaada jinsi ya kuandika barua ya kuongeza mshahara ukiupgrade elimu kwa sisi waalimu!

Edgarcoco

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2011
Posts
229
Reaction score
78
Nimeongeza kaelimu hapa, naomba utaratibu au format kabisa ya kuandika barua wilayani kwa ajili ya nyongeza ya mshahara!
Kwa anayejua anisaidie
 
nimeongeza kaelimu hapa, naomba utaratibu au format kabisa ya kuandika barua wilayani kwa ajili ya nyongeza ya mshahara!
Kwa anayejua anisaidie
nadhani bado hujafanikiwa kuongeza elimu,ongeza upya.
 
Umeongeza elimu, halafu unataka msaada wa jinsi ya kuandika barua!
 
Umeongeza elimu, halafu unataka msaada wa jinsi ya kuandika barua!

lengo langu si kunifundisha kuandika barua. Nataka kujua inapitia kwa nani, au kwa maana ya utaratibu mzima
 
Mmeona eeh!!!
Eeeh hii ndo picha ya walimu tulionao sasa kwenye zile shule zetu...
Kama mwalimu hawezi hata jinsi ya kuandika barua ya kikazi.
 
Nimeongeza kaelimu hapa, naomba utaratibu au format kabisa ya kuandika barua wilayani kwa ajili ya nyongeza ya mshahara!
Kwa anayejua anisaidie
Ningekuwa ni DED wako nimojakwa1 ni naku-redudant!
Ni wazi unaonyesha we u-mwalimu KIHIYO...
 
Kama ulipewa ruhusa ya kujiendeleza na boss wako(DED) inamaana uliandika barua,hivyo basi andika barua kwa utaratibu huohuo kuomba kupandishiwa mshahara/cheo kama wewe ni mwl wa primary basi barua yako ipitie kwa mwl.mkuu wako+Afisa elimu msingi/sekondari+mkurugenzi wa H/w (DED) then unaacha nakala ya barua yako kwa katibu wa chama cha walimu (cwt) wilayani,nafikiri utakuwa umenipata
 
Na huyu nae anataka alippwe mshahara mkubwa wakati hata kundika barua hajui.
 
Back
Top Bottom