nadhani bado hujafanikiwa kuongeza elimu,ongeza upya.nimeongeza kaelimu hapa, naomba utaratibu au format kabisa ya kuandika barua wilayani kwa ajili ya nyongeza ya mshahara!
Kwa anayejua anisaidie
Ningekuwa ni DED wako nimojakwa1 ni naku-redudant!Nimeongeza kaelimu hapa, naomba utaratibu au format kabisa ya kuandika barua wilayani kwa ajili ya nyongeza ya mshahara!
Kwa anayejua anisaidie
Ajui kwan?Mh! Umewatia aibu waalimu wenzio. Swali gani hilo?