Tajiri Sinabay
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 1,333
- 3,619
🤣🤣Yule mwanamke amekwambia anapenda story naona umeshanza kazi mkuu..
Yani ukose hela, ushindwe na kuandika story..
Hongera mkuu naona upo serious na mahusiano
Note book ipo kwenye cm yako?Msaada wakuu, nawezaje kuandika maandishi mengi na kuyahifadhi kwenye simu yangu (nje ya mtandao) ili baadae nikitaka kuyahamishia mahali kama hapa jf, facebook na sehemu nyingine yoyote.
Kwa mfano nataka kuandika hadithi ila nataka niwe naiandika kidogo kidogo ili mwezi mmoja mbele niipost hapa jamii forums.
mshamba_hachekwi Joanah
Andika hapa hapa JFMsaada wakuu, nawezaje kuandika maandishi mengi na kuyahifadhi kwenye simu yangu (nje ya mtandao) ili baadae nikitaka kuyahamishia mahali kama hapa jf, facebook na sehemu nyingine yoyote.
Kwa mfano nataka kuandika hadithi ila nataka niwe naiandika kidogo kidogo ili mwezi mmoja mbele niipost hapa jamii forums.
mshamba_hachekwi Joanah
😒😒😒 Umenikataa kwa shombo na kejeli kwamba sina hela naomba uniache nipambanie kombe sehemu nyingine tafadhaliUmekosa mtu unageuka kuwa mwandishi😂😂
Kila la heri
YesView attachment 3233754
Nadhani ni hii imeandikwa Notes
Aise mkuu 🤣🤣🤣 mwamb yup serious mrembo lazima ajaheeYule mwanamke amekwambia anapenda story naona umeshanza kazi mkuu..
Yani ukose hela, ushindwe na kuandika story..
Hongera mkuu naona upo serious na mahusiano
Ila kaaya pisi ase amezaa lakin bado kanyookaHao wote married tayar. Tumpe shoga yangu Restuta alikua anawaficha kwa ma mtm kule alfa koi