Juma WALEO
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 204
- 40
Nina idea ya mradi flan hivi wa kijamii naomba ajuaye anijuze step za kufuata na namna ya kuandika proposal nzuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nina idea ya mradi flan hivi wa kijamii naomba ajuaye anijuze step za kufuata na namna ya kuandika proposal nzuri
Hii ni taaluma,kama huna shule juu ya hili huwezi,hata upewe muongozo.Kuna sehem utakwama tu.
Nenda Pale IFM tafuta mwanafunzi wa mwaka wa tatu utamlipa kidgo tu atakupigia chuma kikali sana.
Bure hakuna

KWA NINI UTESEKE, TUPO KWA AJILI YAKO
- Tutakupa Ushauri wa jinsi ya kuanzisha Project itakayokuwa na Faida
- Tutakuandalia Proposal na Business Plan
- Tutasimamia usajili wa Project mwanzo mpaka mwisho
- Tutasimamia upatikananji wa TIN ya Biashara/ Mradi wako.
TUPO
AfriNet Core Tanzania
Sinza Makaburini - Igesa Road
Dar es salaam - Tanzania
Mob: +255 755 257 508 / +255 713 741 758
Email: info@afrinet.co.tz / corneliousbk@gmail.com