Msaada jinsi ya kuandika project proposal kwa anayejua

Juma WALEO

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2014
Posts
204
Reaction score
40
Nina idea ya mradi flan hivi wa kijamii naomba ajuaye anijuze step za kufuata na namna ya kuandika proposal nzuri
 
Hii ni taaluma,kama huna shule juu ya hili huwezi,hata upewe muongozo.Kuna sehem utakwama tu.
Nenda Pale IFM tafuta mwanafunzi wa mwaka wa tatu utamlipa kidgo tu atakupigia chuma kikali sana.
Bure hakuna
 
Nina idea ya mradi flan hivi wa kijamii naomba ajuaye anijuze step za kufuata na namna ya kuandika proposal nzuri

Habari,
Unahitaji namna ya kuandika Project Proposal au Business Plan?
 
KWA NINI UTESEKE, TUPO KWA AJILI YAKO

  1. Tutakupa Ushauri wa jinsi ya kuanzisha Project itakayokuwa na Faida
  2. Tutakuandalia Proposal na Business Plan
  3. Tutasimamia usajili wa Project mwanzo mpaka mwisho
  4. Tutasimamia upatikananji wa TIN ya Biashara/ Mradi wako.

TUPO
AfriNet Core Tanzania
Sinza Makaburini - Igesa Road
Dar es salaam - Tanzania
Mob: +255 755 257 508 / +255 713 741 758
Email: info@afrinet.co.tz / corneliousbk@gmail.com
 
Hii ni taaluma,kama huna shule juu ya hili huwezi,hata upewe muongozo.Kuna sehem utakwama tu.
Nenda Pale IFM tafuta mwanafunzi wa mwaka wa tatu utamlipa kidgo tu atakupigia chuma kikali sana.
Bure hakuna

Zanzibar Spices comments zako zinafurahisha sana.
Kweli kabisa hata apewe mwongozo hatoweza vema kuwaona wanaojua nini hasa kinatakiwa kufanywa ili kupata proposal inayoweza kuwabamba wahusika vinginevyo watakushangaa tu
 
Nina idea ya mradi flan hivi wa kijamii naomba ajuaye anijuze step za kufuata na namna ya kuandika proposal nzuri

Mkuu kuandika proposal siyo kama kuandika barua ya mapenzi ambayo hata mbwiga anaweza kuandika!! Hii ni taaluma watu wanasota miaka mi3 na wengine wanatoka kapa kiasi hata ukikutana naye huku mitaani utalia!! Tafuta watu waliosomea wakuandikie!
 
Hii ni taaluma,kama huna shule juu ya hili huwezi,hata upewe muongozo.Kuna sehem utakwama tu.
Nenda Pale IFM tafuta mwanafunzi wa mwaka wa tatu utamlipa kidgo tu atakupigia chuma kikali sana.
Bure hakuna

Kaka usimdanganye mshikaji, proposal writing hasa ya kwenda ku compete hawezi andika Mwanafunzi wa IFM wa mwaka wa 3. Wewe unazungumzia business proposal ambazo vijana hao wa shule wanafanya Ku copy na Ku paste tu. Nilivyomuelewa mshikaji anataka project proposal ambayo ni competitive ili spare grant ya kuimplement hiyo project kama social service.
 
Nina idea ya mradi flan hivi wa kijamii naomba ajuaye anijuze step za kufuata na namna ya kuandika proposal nzuri

Kwa kukupa Mwanga kidogo project proposal format inakuwa na vitu vikuu vifuatavyo
1 Executive Summary
2 Problem Statement
3 Organization Introduction
4 Project goal/general objective
5 Strategies/specific objectives
6 Proposed Activities
7 Outputs/Outcomes
8 Sustainability Plan
9 Implementation Plan
10 Monitoring & evaluation
11 Project budget
 
yaa hapo kuna kazi mkuu, kwa project proposal safari inaanzia kwenye problem statement/society needs kama ni research project you need to formulate research question, najua kuna watu wataalamu hapa watakusaidia ila inabidi ueleze, what is the problem statement/society need(s) how are you going to solve them (methodology)? kuna vitu vingi hapo, ni vema ukimpata mtaalamu mkashirikiana naye.
 
garama zenu zikoje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…