Msaada jinsi ya kuangalia match live kwenye tv

jangala22

Senior Member
Joined
May 20, 2021
Posts
165
Reaction score
141
Habari wakuu je nafanyaje ili niweze kuangalia match live kwenye tv kwa kutumia internet ingawa tv yng sio smart tv ila hapa nilipo naangalizia kwenye simu tu mpira kwa kutumia app ya yacine tv nataka nifanye hvy kwenye tv sasa nifanyaje msaada hapo
 
Nunua Android TV box au Fire Stick (kama tv yako ina port ya HDMI)...

Utaweka apps huko zenye kustream mpira na vitu vinginevyo, then utaconnect kwenda kwa TV yako kama king'amuzi
 
Habari wakuu je nafanyaje ili niweze kuangalia match live kwenye tv kwa kutumia internet ingawa tv yng sio smart tv ila hapa nilipo naangalizia kwenye simu tu mpira kwa kutumia app ya yacine tv nataka nifanye hvy kwenye tv sasa nifanyaje msaada hapo
Game moja inakula gb ngapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…