Msaada: Jinsi ya kuanzisha kiwanda cha alizeti Ushetu

Msaada: Jinsi ya kuanzisha kiwanda cha alizeti Ushetu

maselengo

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2012
Posts
325
Reaction score
167
Nianzie wapi ili niweze kupata eneo la kujenga kiwanda kidogo cha alizeti ushetu? Maana nimesikia kuna swala la uwezeshaji ..huu uwezeshaji nitaupatate kwenye swala la kuanzia ambayo Ni Ardhi?nisaidieni ambao mna ufahamu wa zaidi kuhusu hili.
 
Kiwanda cha Alizeti: Unataka kutengeneza Alizeti au unataka kuzalisha mafuta ya Alizeti?
 
Back
Top Bottom