maselengo JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 325 Reaction score 167 May 27, 2016 #1 Nianzie wapi ili niweze kupata eneo la kujenga kiwanda kidogo cha alizeti ushetu? Maana nimesikia kuna swala la uwezeshaji ..huu uwezeshaji nitaupatate kwenye swala la kuanzia ambayo Ni Ardhi?nisaidieni ambao mna ufahamu wa zaidi kuhusu hili.
Nianzie wapi ili niweze kupata eneo la kujenga kiwanda kidogo cha alizeti ushetu? Maana nimesikia kuna swala la uwezeshaji ..huu uwezeshaji nitaupatate kwenye swala la kuanzia ambayo Ni Ardhi?nisaidieni ambao mna ufahamu wa zaidi kuhusu hili.
Tougher JF-Expert Member Joined Jul 9, 2013 Posts 245 Reaction score 65 May 27, 2016 #2 Kiwanda cha Alizeti: Unataka kutengeneza Alizeti au unataka kuzalisha mafuta ya Alizeti?