Msaada: Jinsi ya kuanzisha kiwanda cha kutengeneza misumari

Msaada: Jinsi ya kuanzisha kiwanda cha kutengeneza misumari

Tz tunahitaj vijana waanze kuwaza hivi tutafika mbali.. jaribu kuchek alibaba
 
Nunua mashine toka china kama dola 5000 na material yapo . Ila kuwa kufua chuma ndio mpango uwe wa baadae ile chuma ya Ludewa ikianza kuchimbwa.
 
Mashine zipo huko China wanatengeneza na assembly yake ukubwa unategemea na mahitaji yako.

Kuna kubwa na za size ya kati na ndogo. Ila unatakiwa kupambania raw materials sasa kwaajiri ya kiwanda maana ndio kila kitu.
 
Nunua mashine toka china kama dola 5000 na material yapo . Ila kuwa kufua chuma ndio mpango uwe wa baadae ile chuma ya Ludewa ikianza kuchimbwa.
Hili LA kufua chuma likoje mkuu
 
  • Thanks
Reactions: K11
Back
Top Bottom