Msaada: Jinsi ya kubadili 'not eligible courses' TCU

Msaada: Jinsi ya kubadili 'not eligible courses' TCU

Nurayah

Member
Joined
Dec 17, 2011
Posts
33
Reaction score
7
Salaam Wakuu,
Kwa siku mbili mfululizo nimekuwa nikijaribu kubadili course za mdogo wangu zilizowekewa comment tajwa bila mafanikio. Nikiclick kwenye selected programs inarudi tena kwenye page ya log in, naombeni msaada wakuu.
 
pole sana mkuu lakini jaribu ku-clear cookie au kama vp tumia google chrome maana internet explorer inazingua.. Then kama ilo sio tatizo jaribu kuingia usiku sana ambapo trafk ni ndogo. Gud luck mheshmiwa
 
Pole sn mkuu, Unatakiwa kuremove zote 8 zilizopo sasa yaani eligible na not eligible na click clear applications hili neno lipo kulia chini, zitafutika zote then log out, log in na uanze upya kuregister, agree na userve changes ndo zitakubali, lakini kabla hembu zinote somewhere kwenye plain paper kuanzia chaguo lako la kwanza hadi nane upya zipange vizuri ukitoa zile za not eligible,
 
Muda si tayari umeisha mkuu au?
 
Someni taarifaa hiii

NOTE😀eadline for registration into Central Admission System is 04/07/2012 at
00:01 A.M. Applicants who have already registered into CAS are adviced to login and update their profile information before the deadline.
 
asa mbona deadline ishapita?
 
asa mbona deadline ishapita?

nadhani huu muda 00.01am,wamemaanisha kuwa mwisho wa kuapply utakuwa saa 5 na dak 59 usiku ,maanake ikifika saa 6 na dak 1,inakuwa tarehe 5 imeshaanza,ambayo ni siku nyingine.
 
umejuaje kama selection ni kesho dogo?

wakati wa kikao cha TCU na wakuu wa vyuo TCU ilitoa taarifa kua tarehe 05/07 wahadhiri wa vyuo watakutana na TCU kwaajili ya kufanya uteuzi.
 
wakati wa kikao cha TCU na wakuu wa vyuo TCU ilitoa taarifa kua tarehe 05/07 wahadhiri wa vyuo watakutana na TCU kwaajili ya kufanya uteuzi.

na wewe ulihudhuria hcho kikao au umeambiwa 2?
 
Back
Top Bottom