Msaada: Jinsi ya kubadili picha kitambulisho cha taifa NIDA

Mi nataka kubadili picha ya kwenye leseni ya udereva.

Nilikuwa sivai miwani
Sura haina michirizi

Saa hii napata shida kila nikisimamishwa na afande barabarani, wananituhumu natumia leseni isiyo yangu...😡.
 
Mimi nilikuwa A level nacheza mpira. Ghafla tukaambiwa tukajiandikishe bila kujua najiandikisha nini. Nikakuta foleni ya watu kibao na wanafunzi ile zamu yangu kufika nishakaa masaa nikaingia ndani wakadai sitakiwi kupiga picha na jezi yenye maandishi. Nikaigeuza nje ndani so hadi leo ID yangu nimevaa t-shirt kinyume nikipata nafasi ya kubadilisha nitafanya hivyo
 
Mi nataka kubadili picha ya kwenye leseni ya udereva.

Nilikuwa sivai miwani
Sura haina michirizi

Saa hii napata shida kila nikisimamishwa na afande barabarani, wananituhumu natumia leseni isiyo yangu...😡.
Tembea na ID mbili.
 
Poleni wadau naona sura zenu zinademka demka tu. Hongereni kwa hatua hiyo. Hakika hii ni effect ya uchumi wa kati tulioachiwa
 
Tembea na ID mbili.

Kitambulisho ambacho kinashabihiana na taswira yangu ya sasa ni hizi pasi za kusafiria zenye namba TAE.......

Sasa mizunguko ya mjini niwe natembea na kasha la kuvuka mipaka....!!! Kwangu hii ni adhabu.

Vilivyobakia vyote vina taswira za kigoli.

Wangeweka mfumo kila ukirenew ubadili taswira......! Ombi langu maana askari wa barabarani wananituhumu bila kosa.
 
Kama hutajali tupia kapicha ka zamani tukufananishe😀
 
B298DFA2-A1D2-4D33-B948-679D1F7269DF.jpeg

Imeishaaa hiyooo.
 
Wadau wakati napiga picha miaka iyo ilopita nilikua na karangi keusi sasa nimekunywa maji mengi kama Rey kigosi nimekua na karangi keupe, ukitazama picha ile na sasa utakataa sio mimi, vipi upo uwezekano wa kubadili picha nida?
Bora yako hata wewe unayo hiyo ID
 
Mi nataka kubadili picha ya kwenye leseni ya udereva.

Nilikuwa sivai miwani
Sura haina michirizi

Saa hii napata shida kila nikisimamishwa na afande barabarani, wananituhumu natumia leseni isiyo yangu...
Daaaahh acha tuu mimi nilidanganya umri 2005 nakata leseni.nilikuwa under 20 kabisa..
Sasa kila ukiend kurenew picha ni hiyo hiyo tuu.sina hta ndevu wakati sshv nna ndevu km hamza
 
Natumai atapita mtu wa TRA hapa atachukua maoni ya wadau.

Waweke uchaguzi mtu achague/aamue anayetaka kubadili picha kipindi cha kurenew leseni abadili. Asiyetaka aendelee na ile ile.
 
Wadau wakati napiga picha miaka iyo ilopita nilikua na karangi keusi sasa nimekunywa maji mengi kama Rey kigosi nimekua na karangi keupe, ukitazama picha ile na sasa utakataa sio mimi, vipi upo uwezekano wa kubadili picha nida?
Inawezekana ila Kuna malipo kidogo
 
Wadau wakati napiga picha miaka iyo ilopita nilikua na karangi keusi sasa nimekunywa maji mengi kama Rey kigosi nimekua na karangi keupe, ukitazama picha ile na sasa utakataa sio mimi, vipi upo uwezekano wa kubadili picha nida?
Weka picha tuone hapa usilete maneno
 
Back
Top Bottom