Tumia google lens app uende kwenye setting kuona kama kunawezekana kubadili lugha, tofauti na hapo nashauri ujipange ununue android radio maana hizo redio zinakuja na gari wakati mwingine zinapitwa na wakati pia au isiwe na frequency zote zaidi ni kutumia bluetooth.