msukule mzembe
JF-Expert Member
- Apr 28, 2022
- 253
- 302
Yahgougle
Hivi oppo wanatumia os ganiYaaani mfano itoke android iende Ios, windows, or Symbian ?
Hichi kitu hakipo sana sana huwa tunafanya updates ya OS tu ya simu kama inakubali kupokea ila kama haikubali itakushangaza baada ya kuilazimisha maana feature zinaweza zikagoma kufanya kazi zingine.
AndroidHivi oppo wanatumia os gani
Ndo mara ya kwanza nasikia gougle... Ila kama umekosea unamaanisha google basi itakuwa ni android maana mmiliki wa android ni google hivyo simu zake zinatumia android.Mimi nina simu hizi za gougle lakini nataka kubadilisha operating system iwe ya android maana hii gougle ipo limited sana kuliko android.
Nimejaribu ku root na pc ya samsung lakini bado.
Je, naweza kuroot hiyo operating system
Mimi nina simu hizi za gougle lakini nataka kubadilisha operating system iwe ya android maana hii gougle ipo limited sana kuliko android.
Nimejaribu ku root na pc ya samsung lakini bado.
Je, naweza kuroot hiyo operating system
Kuna simu za gougle pixelGoogle ndo android wenyewe sasa android ipo limited kivipi wakati ni open source OS?
Hapana bwanaAndroid
Ungeweka model ya simu yako kama ni Google Pixel 4, au unaweza kuscreenshot, kwenye page ya info inayoonesha model number, ili upate msaada kirahisi zaidi.Hapana bwana
Kuna simu za gougle pixel
Ni Google pixel sio gougle pixel na simu za Google zina run stock android ambayo haijawekewa mbwembwe kama ilivyo kwa samsung. Sasa ina limitation gani?Kuna simu za gougle pixel
Kuna simu za gougle pixel