Msaada: Jinsi ya kubadilisha umiliki wa kiwanja baada ya kukinunua

Msaada: Jinsi ya kubadilisha umiliki wa kiwanja baada ya kukinunua

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
Ndugu nisaidieni process inavyokuwa hadi mwisho pale unapotaka utambulike kama mmiliki mpya wa kiwanja baada ya kukinunua.

Kiwanja kimepimwa na kina bikon tayari.
 
Ukinunua gari na ukahitaji kubadili jina kwenye kadi gharama huwa ni za kwako au maelewano na gharama huwa ni kati ya Laki na nusu (150,000) mpk Laki tatu (300,000,) fasta fasta Sasa na wewe bajeti yako icheze humo ingawa majibu kamili utayapata hapo hapo manispaa.
 
Ndugu nisaidieni process inavyokuwa hadi mwisho pale unapotaka utambulike kama mmiliki mpya wa kiwanja baada ya kukinunua.

Kiwanja kimepimwa na kina bikon tayari.
KAMA KIWANJA KINA HATI:
1. Mkataba wa mauziano
2. Valuation report
3. Maombi ya kumilikishwa
4. Ada(kuna gharama za aina mbili zitachajiwa kulingana na thamani ya kiwanja husika na kama thamani iliyopo kwenye mkataba inayofautiana na valuation report basi itachukuliwa ile yenye thamani ya juu)

Kila la kheri
 
Back
Top Bottom