Habari zenu wana jf. Ombi langu ni kuwa kama kuna mtu ana elewa namna ya kubloc au kama kuna namna nyingine ya kufanya,aeleze au awache contact yake hapa, hata kama kuna malipo niko teyari, maana kuna watu wana usumbufu sana. Natumia simu aina ya nokia 6233... Natanguliza shukrani
nunua simu aina ya g-tide[ni ya kichina]nenda kwenye call setting,tafuta black list,hapo orodhesha namba unazotaka kublock,