Azoge Ze Blind Baga
JF-Expert Member
- Mar 8, 2019
- 442
- 1,655
Unatumia kimeo gani??Wataalam naomba mnisaidie njia nzuri ya kublock SMS kutoka kwa namba nisiyotaka initumie SMS
Njia hiyo iwe tofauti na ile ya kuinstall apps kutoka play store
Asanteni
Unatumia kimeo gani??
safi sana lkn mm nakumbuka namba hizi zinablock kila kitu kuanzia simu hadi smsIn *35*0000#
Out #35*0000#
Mkuu ngoja nijaribu nitakupa feedbackHii inabrock sms tu. Calling zinaendelea kama kawaida.
Mkuu ngoja nijaribu nitakupa feedback
Hii inazuia zote ? Kama nataka kuzuia namba moja tuu?In *35*0000#
Out #35*0000#
Sasa hii mkuu si sms kwa wote unablockIn *35*0000#
Out #35*0000#
Nikitaka ku-unblock inakuaje? Nimechek hivi ulivyonielekeza nimepata hiyo optionMkuu simple Sana
1. Kama umesave Jina lake futa Hilo Jina ibaki namba isiyo na Jina.
2. Fanya kama unaipiga hiyo ili iwepo kwenye call log(call history)
3. Fanya kama una select hiyo Namba kutoka kwenye call history or call log.
4. Baada ya hapo screen yako itakuwa na hiyo Namba na details za incoming/outgoing calling za hiyo Namba.
5. Kule juu kulia utaona sehemu ya kubofya then select block number.
6. Kuna option 2 za ku block number zitaonekana yaani call block and sms block.
Now Is up to your.
Yes mdauSasa hii mkuu si sms kwa wote unablock
Nikitaka ku-unblock inakuaje? Nimechek hivi ulivyonielekeza nimepata hiyo option
Khaaaa...!??Nikitaka ku-unblock inakuaje? Nimechek hivi ulivyonielekeza nimepata hiyo option
Na sisi tunaotumia tecno hizo process zipo? Au ni kwa wenzetu wa iPhoneMkuu simple Sana
1. Kama umesave Jina lake futa Hilo Jina ibaki namba isiyo na Jina.
2. Fanya kama unaipiga hiyo ili iwepo kwenye call log(call history)
3. Fanya kama una select hiyo Namba kutoka kwenye call history or call log.
4. Baada ya hapo screen yako itakuwa na hiyo Namba na details za incoming/outgoing calling za hiyo Namba.
5. Kule juu kulia utaona sehemu ya kubofya then select block number.
6. Kuna option 2 za ku block number zitaonekana yaani call block and sms block.
Now Is up to your.
Alivyosema huyu.Mkuu simple Sana

sasa mkuu mbona hueleweki hebu kua specific, unataka ku-block au ku-unblockNikitaka ku-unblock inakuaje? Nimechek hivi ulivyonielekeza nimepata hiyo option
Labda anataka hasira zikiisha amfungulie[emoji1]sasa mkuu mbona hueleweki hebu kua specific, unataka ku-block au ku-unblock