Msaada; Jinsi ya kucalculate PAYE kwa mtumishi wa Serikali

Kichwa Ngumu

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2010
Posts
1,726
Reaction score
314
Wakuu naomba nisaidiwe jinsi ya kucalculate PAYE kwa mtumishi wa Serikali mwenye mshahara huu
Basic Salary Tsh. 521,800.00
PSPF Pension Contr. (5%of Basic Salary) Sh. 26,090.00
sina posho yoyote

Viwango vya kodi kwa watu binafsi wakazi kuanzia tarehe 1/7/2012

[TD="align: right"]
[/TD]
[TD="align: right"]
[/TD]
[TD="align: right"]
[/TD]

[TD="colspan: 2"]
[TABLE="width: 463"]
[TR]
[TD="colspan: 2"]ISO 9001:2008 CERTIFIEDVIWANGO VYA KODI KWA WATU BINAFSI WAKAZI KUANZIA TAREHE 1/7/2012 KWA MUJIBU WA MUSWADA WA SHERIA YA FEDHA YA MWAKA 2012[/TD]

[TR]
[TD]Mapato kwa mwezi [/TD]
[TD]Kiwango cha kodi [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mapato yasiyozidi shs 170,000/=[/TD]
[TD]Yamesamehewa [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mapato yanayozidi shs 170,000/= lakini hayazidi sh. 360,000/=[/TD]
[TD]14% ya kiasi kinachozidi sh 170,000/=[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mapato yanayozidi sh. 360,000lakini hayazidi sh. 540,000/=[/TD]
[TD]Sh. 26,600/= ongeza 20% ya kiasi kinachozidi sh 360,000/=[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mapato yanayozidi sh. 540,000/= lakini hayazidi sh. 720,000/=[/TD]
[TD]Sh. 62,600/= ongeza 25% ya kiasi kinachozidi sh 540,000/=[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mapato yanayozidi sh 720,000/=[/TD]
[TD]Sh 107,600/= ongeza 30% ya kiasi kinachozidi sh 720,000/=[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]1. Mapato ya mwajiriwa kwa mwezi ni pamoja na mshahara , ujira kwa kazi za ziada , bonasi, kamisheni, malipo kwa ajiri ya nyumba, usafiri na malipo mengine ya ajira baada ya kuondoa michango ya akiba ya uzeeni inayokubalika (mfano NSSF au PPF)) 2. Mapato kwa mwaka yasiyotozwa kodi ni Sh 2,040,000 /=3. Viwango vya kodi kwa Zanzibar : Waziri wa Fedha atashauriana na Waziri wa Fedha wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar [/TD]
[/TR]

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Mkuu PAYE utakayolipa ni:

26600+20/100x(521800-360,000)=58960 kama sikosei.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…