Msaada: Jinsi ya kuchagua business name

Msaada: Jinsi ya kuchagua business name

KATASAN'KAZA

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2013
Posts
3,097
Reaction score
1,356
Wasalam wandugu jamaa na marafiki,

Naomba mawazo ya kuchagu jina biashara ya bidhaa zifuatazo Tourism+Travel service and Vegetables supply. Nataka kutoa hizi huduma zote sasa kama unaweza kunipendekezea jina linaloweza kujumuisha haya mambo yote nitashukuru. alfu pia ata kama una mawazo ya jinsi ya kuunda jina kwa bidhaa hii nitashukru pia.



Karibu kwa ushauri
 
Back
Top Bottom