katika 3117500 kwanza kabisa toa stipend (hela ya chakula na malazi ambayo kwa mwaka ni 1875000 (3117500-1875000= 1242500). Katika 1242500 iliyobaki baada ya kutoa hela ya chakula toa tena hela ya vitabu ambayo ni sh. 200000 kwa mwaka (1242500-200000=1042500). Sasa kama kozi yako inahitaji field kwa mwaka wa kwanza ambapo mara nyingi ni sh. 600000 kwa miezi miwili hivyo uitoe katika 1042500 (1042500-600000=442500). Baada ya kutoa hayo yote hela inayobaki ndo percent ya ada ambapo kwa kesi hii ni sh 442500. na kama kwa mwaka wa kwanza aingekuwa na field then percent yake ya ada ingekuwa 1042500. sasa chukua hela iliyobaki let say 442500 gawanya kwa ada ya mwaka ya chuo letsay kama BAED UDSM ni sh. 1000000 mara 100 nadhani hapo utapata asilimia