Ngorunde
Platinum Member
- Nov 17, 2006
- 4,672
- 9,806
Habari wanajamvi.
Mimi ni mkulima wa maharage ila changamoto kubwa sana ninayokutana nayo ni uharibifu mkubwa unaofanywa na ndege wanaoshabulia majani ya mimea wakati ikiwa michanga.
Hawa ndege ni wa rangi ya brown, wana mkia mrefu na kichwani wana kichungi. Kweli wananiharibia sana kiasi cha kunikatisha tamaa.
Kama kuna mdau yeyote mwenye mbinu za kuwadhibiti tafadhali anisaidie.
Ninawasilisha