hahahahahhahaaaIla kama huna buku ya kununua mb hiyo haiwezekani
Kuhack wifi kuna mahitaji ya vifaa unayotakiwa kuwa nayoHabari zenu Jamani,naomba mwenye kujua namna ya kuhack WiFi password a(tu)nielekeze.Ahsanteni.
Kadanganye script kiddie wenzio
mwaga maujanja hapa hapa kwenye jukwaa mkuu kwa faida ya wengi kuna hotel ina Wi-Fi so nilitaka kila nikienda eneo husika niweze kupata free internet hata dakika 30 Tu..
Hivi wifi ukisha-connect ukatumia internet ili kuendelea kutumia ni lazima ukae eneo ileile au hata ukihama kwenda sehemu nyingine bado unapata...
Hivi wifi ukisha-connect ukatumia internet ili kuendelea kutumia ni lazima ukae eneo ileile au hata ukihama kwenda sehemu nyingine bado unapata...
Duh,ili nalo la kuuliza?Kuna range ukihama ukienda sehemu nyingine haupati kituHivi wifi ukisha-connect ukatumia internet ili kuendelea kutumia ni lazima ukae eneo ileile au hata ukihama kwenda sehemu nyingine bado unapata...
Yap! ni lazima tujue kwa kina kwa sababu kama tunaelekezana njia ya kupata wifi for free lakini ni lazima ukae eneo moja basi hio uzi ni Batili...Duh,ili nalo la kuuliza?Kuna range ukihama ukienda sehemu nyingine haupati kitu
kama hamna njia rasmi ya kutumia ukiwa sehemu nyingine basi nikishapata njia ya ku-hack nitakua naweka bando la buku na nikitaka ku-download au ku-upload vitu vyenye size kubwa mfano 3GB naenda eneo husika nifanye mambo na hapo maisha yataenda kwa uhakika...sio ukae eneo lile lile,ila unatakiwa ukae eneo inapopatakana,kila wifi inasetiwa kwa kipenyo furani,ukitoka nje ya kipenyo hicho unaendelea kupambana na nape.