brave Mwafrika
JF-Expert Member
- May 2, 2019
- 247
- 135
ukichagukiwaHabari za leo wana JamiiiiForums,
Naombeni mnijuze. Mimi nilifanya application ya chuo cha afya cha serikali na nikachaguliwa nursing. Ila nimejaribu kufanya tena application ili nichague kozi nyingine lakini niki login ili nifanye application wananipongeza tu kwa kuchaguliwa na hakuna option zingine za kuendelea na application.
Sasa swali langu, ukishachagulia chuo cha afya cha serikali uruhusiwi kufanya application kozi nyingine?
#oooh!kiukweli mi uwezo wa kuhama chuo Sina ila kwa chuo Cha serikali inawezekana kubadili kozi na kuendelea kusomea palepale...??ukichagukiwa
uwezi kuomba tena mpaka ufute kwanza udahili wa mwanzo ndipo uombe tena
NB.Tahadhali yake ni moja unaweza kucancel hiyo admission ukaomba tena round ya tatu iliyobaki ukakosa au ukapata course ambayo si kipaumbele kwako,bora ukaomba kuhama course ukiwa chuo au kuhama chuo wakishafungua dirisha ingawa uwezekano wa kupata ni mdogo
inawezekana kama una sifa za hiyo course unayoipenda#oooh!kiukweli mi uwezo wa kuhama chuo Sina ila kwa chuo Cha serikali inawezekana kubadili kozi na kuendelea kusomea palepale...??
Capacity ya chuo kwa kozi hiyo unayotaka kuhamia unaijua? Unataka utoke nursing mfano uende Pharmacy, je nafasi ipo. Unaweza omba na usifanikiwe na kuhama chuo vilevile usifanikiwe labda uende private. Elimu ya afya inabana wewe ukishindwa baki hiyo nafasi uliyopata. Wazo la kufuta achana nalo#oooh!kiukweli mi uwezo wa kuhama chuo Sina ila kwa chuo Cha serikali inawezekana kubadili kozi na kuendelea kusomea palepale...??
#mi ufaulu wangu niinawezekana kama una sifa za hiyo course unayoipenda
#yani kufuta ndo siwezi kabisa ila Kama uwezekano wa kubadili upo, na nikaweza kubadili basi nitafanya.Capacity ya chuo kwa kozi hiyo unayotaka kuhamia unaijua? Unataka utoke nursing mfano uende Pharmacy, je nafasi ipo. Unaweza omba na usifanikiwe na kuhama chuo vilevile usifanikiwe labda uende private. Elimu ya afya inabana wewe ukishindwa baki hiyo nafasi uliyopata. Wazo la kufuta achana nalo
#usika na mada tajwa hapo juu ๐๐๐Ni muda wa sisi ambao tujasoma mpaka huko kujadili kuhusu bandari
Nenda nacte waeleze ishu yako watakwambia uende chuo ulichochaguliwa watilie mkazo wao ndo wawasiliane na hicho chuo lasivyo watakuzungusha tu wanatafuta wanafunziHabari za leo wana JamiiiiForums,
Naombeni mnijuze. Mimi nilifanya application ya chuo cha afya cha serikali na nikachaguliwa nursing. Ila nimejaribu kufanya tena application ili nichague kozi nyingine lakini niki login ili nifanye application wananipongeza tu kwa kuchaguliwa na hakuna option zingine za kuendelea na application.
Sasa swali langu, ukishachagulia chuo cha afya cha serikali uruhusiwi kufanya application kozi nyingine?
#nawatafuta kwa njia ya simu ama kwa njia gani maana mi niko MWANZANenda nacte waeleze ishu yako watakwambia uende chuo ulichochaguliwa watilie mkazo wao ndo wawasiliane na hicho chuo lasivyo watakuzungusha tu wanatafuta wanafunzi
Duh ungekua dar ingekua poa ila nadhan wanabranch huko#nawatafuta kwa njia ya simu ama kwa njia gani maana mi niko MWANZA
#labda niwasiliane nao kwa njia ya simu maana ata branc yao sijui ipo wapi.Duh ungekua dar ingekua poa ila nadhan wanabranch huko
Hawapokeagi hao๐#labda niwasiliane nao kwa njia ya simu maana ata branc yao sijui ipo wapi.
#daah!Sasa hapo mpaka nifike chuo,Hawapokeagi hao๐
usipofwatilia mzee utaenda hicho chuo mda unaisha 16/10 wanaanza masomo#daah!Sasa hapo mpaka nifike chuo,
Maana mi nipo Mwanza na chuo nilichopangiwa kipo Kilimanjaro.
#nitafanya hivyo ndugu kabla sijachelewa.usipofwatilia mzee utaenda hicho chuo mda unaisha 16/10 wanaanza masomo