Kampuny ya nini? Kila aina ya kampuny ina jinsi ya kuimenejiWakuu mimi elimu yangu ni kidato cha 6,nina mpango wa kuanzisha kampuni yenye mtaji wa million 3. Biashara sio mpya, bali naongeza mtaji na kuifanya kampuni. Process baadhi nazijua, za kwenda BRELA, TRA na kwa MWANASHERIA.
TATIZO
Sijui nitaendeshaje iyo kampuni kwa msingi wa utawala, mimi nataka niajili mtu mmoja tu ambae atafanya kazi ya u secretary na uhasibu sasa sijui kama itawezekana kampuni ya namna hii. Naomba mnipe faida na changamoto za kampuni ya namna hii.
Sales & marketing. Pia inategemea aina ya bidhaa.... Engineering & machinery equipment... Consumer product....Kuna bidhaa huwa naagiza nje ya nchi, kuna mtu huwa anaenda China akiniletea mimi nasambaza madukani, sasa nataka nianze kwenda mikoa ya karibu kutafuta soko, mimi nipo dar
Watanzania wenzangu,kumiliki biashara/kampuni (kwa maana ya limited company) na kujiajiri ndiyo siri ya mafanikio kwa Tanzania ya leo.Chukua hatua na ufungue kampuni yako na ujiiunue kiuchumi.Wakuu mimi elimu yangu ni kidato cha 6,nina mpango wa kuanzisha kampuni yenye mtaji wa million 3. Biashara sio mpya, bali naongeza mtaji na kuifanya kampuni. Process baadhi nazijua, za kwenda BRELA, TRA na kwa MWANASHERIA.
TATIZO
Sijui nitaendeshaje iyo kampuni kwa msingi wa utawala, mimi nataka niajili mtu mmoja tu ambae atafanya kazi ya u secretary na uhasibu sasa sijui kama itawezekana kampuni ya namna hii. Naomba mnipe faida na changamoto za kampuni ya namna hii.
Essence watakusaidia kuanzia kwenye usajili na had kuendesha biashara yako watakuwa na WW ndan ya miez mitatu wanaku coach baada ya hapo utaendelea mwenywe
Hamna kitu kama hicho ndugu yangu sikuzote kusajiri company kunaendana na kiasi cha mtaj Wako Yan kwa huyu ikizid saana utakua laki 3Essence unataka kula m1 kwenye mtaji wa jamaa nini???
Watanzania wenzangu,kumiliki biashara/kampuni (kwa maana ya limited company) na kujiajiri ndiyo siri ya mafanikio kwa Tanzania ya leo.Chukua hatua na ufungue kampuni yako na ujiiunue kiuchumi.
Sisi ni wataalamu kwenye swala zima la kusajili kampuni ya aina yoyote.Tunakamilisha taratibu zote kuanzia Name search,kuandaa MEMAT (yaani Memorandum and Articles of Association) pamoja na process zote za BRELA na ndani ya wiki moja tunakuletea Certificate of Incorporation popote ulipo.
Kwa wale wote waliopo ndani na nje ya Tanzania wenye nia ya kuanzisha kampuni Tanzania lakini hawajui waanzie wapi, wasiliana nasi na kwa pamoja tushirikiane kwa kutimiza ndoto zako.
Kama utakuwa na swali lolote basi usisite kuniuliza kwa njia ya whatsap, calls na sms 0768597186.
Au fika ofisin kwetu,
Essence Consult ltd
NHC Building,1st floor,
makunganya street,
Near Askari Manument ,
Dar es salaam.
0655 204 666
e.consult16@gmail.com.