Msaada jinsi ya kufanya calculation ya valuation ya nyumba

Liverpool2005

Member
Joined
Jul 20, 2011
Posts
43
Reaction score
39
Nina nyumba yangu nataka kuifanyia valuation bila kutumia valuar wa manispaa...detail zote za nyumba ninazo na ninataka kuifanya mwenyewe.....hesabu zake nimwsahau kidogo....maengeneer na valuar wanisaidie.
 
Mkuu unaposema umesahau kidogo hesabu ina maana ulikuwa unazijua/ulishawahi kufanya valuation ya real estate? Then wanaitwa ma valuer na sio valuar...alafu issue ya kufanya valuation inategemeana na purpose ya iyo valuation...lakini pia ivi valuation iwe valid na itambulike kwenye legal process like credit or loan facility provision inatakiwa iwe conducted n signed na known or registeres valuation surveyor...na valuation proccess inainvolve vitu vingi sana kama vile thamani ya ardhi per metre square...neighbour hood..ownership of tenure (terms n etc)na mambo mengine kibao...sasa wewe unataka kufanya valuation ambayo value utayoestablish itatumika kwa malengo yapi (your purpose of valuation )? Labda tuanzie apo
 
Nyumba ipo sokoni..valuation ni ya kuuzia, nataka kuifanya, ni zamani sana niliifanya, nikijua jinsi ya kuanza tu nitajua jinsi ya kumalizia..
 
Bado biashara yako utaifanya kiukanjanja kama valuation utaifanya mwenyewe bila accredited authority or approved proffessional valuer! huyo mteja utampa a room for bargaining price. Ili kudhibiti hilo, mkuu huna budi kuwaachia wenye taalum na mihuri yao ili nyumba yako ijiuze yenyewe.
Kusanya(gharamia) required docs kwanza, makisio ya kibubububu hayatasaidia.
 
Mavaluer wanasoma miaka 4 darasani ...chuo kikuu. Wewe unataka kujua valuation kwa key board ya nokia yako. Shamefull
 
Mkuu mfamaji ni bora umemwambia huyu jamaa straight maana niliona nikimwambia direct itaonekaba najisikia with what I know labda kwa sababu nimesomea iyo professional. .....4 years ardhi university na dissertation juu kila semester 2nasoma kozi 8 independently na tests 2 per course piga hesabu unahustle kiasi gani kupata hii degree...apo bado 5 years ya experience before u become full experienced...hapo hujaongelea proccess ya kuwa fully registered....afu mtu anakuja ooh...nina details zote nimesahau kidogo namna ya kupiga mahesabu...nimesahau formula....is this fair? Au ndo ile kasumba yetu ya kujiona kila mtu anajua kila kitu?
 
Nyumba ipo sokoni..valuation ni ya kuuzia, nataka kuifanya, ni zamani sana niliifanya, nikijua jinsi ya kuanza tu nitajua jinsi ya kumalizia..

Kwanza uko wapi/sehem gani apa tanzania..unajua hata value ya square metre moja ya ardhi ya eneo nyumba yako ilipo?...unajua thamani ya ardhi ya eneo ulilopo az a whole ukiconsider neighbourhood?utakacho fanya wewe ni makadirio ya kawaida tuh ambayo mtu yeyote even a layman anaweza kuyafanya...ila legal n formal valuation inafanywa kwa kuunganisha concepts zaidi ya ishirini hadi kufikia final value...so ka unataka kukadiria kwa ajili ya kuset price ya mali yako ilo unaweza kufanya mwenyewe wa utahitaji msaada wowote technically or otherwise kwny iyo issue yako lakini sio kuwa unaweza kuandaa valuation report az a regal document for your property...thats unproffesional
 
Nina nyumba yangu nataka kuifanyia valuation bila kutumia valuar wa manispaa...detail zote za nyumba ninazo na ninataka kuifanya mwenyewe.....hesabu zake nimwsahau kidogo....maengeneer na valuar wanisaidie.

Unaweza kuni pm ka unahitaji any technical advise on estimating or valuing your property for your own huko huko uliko
 
Sasa Mkuu si um-PM right away! Wa-Tz kwa majivuno bwana! Huyu mdau anataka angalau picha tu ya kupanga bei ya nyumba yake, sidhani kama anahitaji kitu technical kama ulivyofundishwa Wewe chuoni eti mpaka adadavue na valuation report! Mpeni mwanga kidogo tu kwamba ni vitu gani vinahitajika kwenye kufanya valuation, mojawapo umesema thamani ya ardhi, what next?
 
Umeafuatilia thread toka mwanzo? Mimi nina benefits gani na nyumba yake mpaka nim pm?(though najua natakiwa kutoa elimu kwa wote kwny jukwaa ambayo nishajitahidi kutoa general hints apo juu).... ntam mp nimwambie what if ye hatahitaji maelezo zaidi..nimemwambia anipm AKIHITAJI...majivuno yako wapi apo mkui?au umeamua tu kuandika kisa una tym ya kutype?
 
Back
Top Bottom