Liverpool2005
Member
- Jul 20, 2011
- 43
- 39
Nina nyumba yangu nataka kuifanyia valuation bila kutumia valuar wa manispaa...detail zote za nyumba ninazo na ninataka kuifanya mwenyewe.....hesabu zake nimwsahau kidogo....maengeneer na valuar wanisaidie.
Mkuu unaposema umesahau kidogo hesabu ina maana ulikuwa unazijua/ulishawahi kufanya valuation ya real estate? Then wanaitwa ma valuer na sio valuar...alafu issue ya kufanya valuation inategemeana na purpose ya iyo valuation...lakini pia ivi valuation iwe valid na itambulike kwenye legal process like credit or loan facility provision inatakiwa iwe conducted n signed na known or registeres valuation surveyor...na valuation proccess inainvolve vitu vingi sana kama vile thamani ya ardhi per metre square...neighbour hood..ownership of tenure (terms n etc)na mambo mengine kibao...sasa wewe unataka kufanya valuation ambayo value utayoestablish itatumika kwa malengo yapi (your purpose of valuation )? Labda tuanzie apo
Nyumba ipo sokoni..valuation ni ya kuuzia, nataka kuifanya, ni zamani sana niliifanya, nikijua jinsi ya kuanza tu nitajua jinsi ya kumalizia..
Nyumba ipo sokoni..valuation ni ya kuuzia, nataka kuifanya, ni zamani sana niliifanya, nikijua jinsi ya kuanza tu nitajua jinsi ya kumalizia..
Nina nyumba yangu nataka kuifanyia valuation bila kutumia valuar wa manispaa...detail zote za nyumba ninazo na ninataka kuifanya mwenyewe.....hesabu zake nimwsahau kidogo....maengeneer na valuar wanisaidie.
Unaweza kuni pm ka unahitaji any technical advise on estimating or valuing your property for your own huko huko uliko
Sasa Mkuu si um-PM right away! Wa-Tz kwa majivuno bwana! Huyu mdau anataka angalau picha tu ya kupanga bei ya nyumba yake, sidhani kama anahitaji kitu technical kama ulivyofundishwa Wewe chuoni eti mpaka adadavue na valuation report! Mpeni mwanga kidogo tu kwamba ni vitu gani vinahitajika kwenye kufanya valuation, mojawapo umesema thamani ya ardhi, what next?
mkuu nimekupm hebu cheki basi muhimuUnaweza kuni pm ka unahitaji any technical advise on estimating or valuing your property for your own huko huko uliko