yapake tu rangi nyeupe uchanganye na super glue ili isibanduke
Naombeni ushauri wa jinsi ya kufanya macho yangu yawe meupe
Naombeni ushauri wa jinsi ya kufanya macho yangu yawe meupe
Duuuuh!! kazi kweli kweli!!yapake tu rangi nyeupe uchanganye na super glue ili isibanduke
Mmmmh, jamani acheni vichekesho daaahPunguza kukodolea macho vitu vizito.
Punguza kukodolea macho vitu vizito.
mmmmh, basi tena!!Kulia Mara kwa Mara inasaidia la sio kwa uzuni