Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda bank NMB, ukiwa na nida au namba ya nida na tsh elf 10. Omba upewe prepaid card. Ni safe na rahisi sana, mi binafsi ndio naitumia kufanyia miamala ya huko, aliexpres, ebay, amazon etc.Jaman wapwa msaada JINSI ya kufanya malipo ya bidhaa kwenye Alibaba, AliExpress na nyingine Kwa urahisi kama ilivo kwenye kiApplicaton Cha Kikuu
Please [emoji3064]
Case closedNenda bank NMB, ukiwa na nida au namba ya nida na tsh elf 10. Omba upewe prepaid card. Ni safe na rahisi sana, mi binafsi ndio naitumia kufanyia miamala ya huko, aliexpres, ebay, amazon etc.
Ukishapata card yako, log kwenye aliexpress au ebay payment options select mastercard. Ingiza namba ya card yako, expire date, cvv. Basi umemaliza ukienda kufanya malipo card yako ndio itakua inatoa ela. Hivyo tu
Tumia airtel money master card au mpesa huko kwingine ukirudishiwa hela wanabaki nayo, pia kuna mchezo mbaya unaweza kuta kuna mtu analipia kadi yako bila taarifa. Niliachana na nmb na crdb baada ya kukutana na shida za kutorudishiwa hela nikidai refundi.Nenda bank NMB, ukiwa na nida au namba ya nida na tsh elf 10. Omba upewe prepaid card. Ni safe na rahisi sana, mi binafsi ndio naitumia kufanyia miamala ya huko, aliexpres, ebay, amazon etc.
Ukishapata card yako, log kwenye aliexpress au ebay payment options select mastercard. Ingiza namba ya card yako, expire date, cvv. Basi umemaliza ukienda kufanya malipo card yako ndio itakua inatoa ela. Hivyo tu
Naomba maelezo kidogo maana nimesikia njia ya mitandao wanakata pakubwa. je kuna ukweli?Tumia airtel money master card au mpesa huko kwingine ukirudishiwa hela wanabaki nayo, pia kuna mchezo mbaya unaweza kuta kuna mtu analipia kadi yako bila taarifa. Niliachana na nmb na crdb baada ya kukutana na shida za kutorudishiwa hela nikidai refundi.
Makato ya hii sasahivi kiboko 10% ya oda yako ni kuvwa sanaVodacom VISA kama M-pesa tu.
Airtel wanaka asilimia ngapiTumia airtel money master card au mpesa huko kwingine ukirudishiwa hela wanabaki nayo, pia kuna mchezo mbaya unaweza kuta kuna mtu analipia kadi yako bila taarifa. Niliachana na nmb na crdb baada ya kukutana na shida za kutorudishiwa hela nikidai refundi.
Airtel wanaka asilimia ngaTumia airtel money master card au mpesa huko kwingine ukirudishiwa hela wanabaki nayo, pia kuna mchezo mbaya unaweza kuta kuna mtu analipia kadi yako bila taarifa. Niliachana na nmb na crdb baada ya kukutana na shida za kutorudishiwa hela nikidai refundi.
Ni kweli, mmi ndo natumiag nataka badili cjui niende wapiNaomba maelezo kidogo maana nimesikia njia ya mitandao wanakata pakubwa. je kuna ukweli?
Ni kweli unafuu ni Bank tu.Naomba maelezo kidogo maana nimesikia njia ya mitandao wanakata pakubwa. je kuna ukweli?
Bank shida yao wakirefund hupati hela kuliko Airtel money!Ni kweli unafuu ni Bank tu.
Mimi kwa uzoefu wangu hakuna gharama kubwa, kuna jamaa angu katumia M-pesa kuagiza mzigo wa 1.8m hakuna makato yakutisha!Airtel wanaka asilimia nga
Walimkata shilingi ngapi jumla.Mimi kwa uzoefu wangu hakuna gharama kubwa, kuna jamaa angu katumia M-pesa kuagiza mzigo wa 1.8m hakuna makato yakutisha!
Walikata tsh ngapi?Mimi kwa uzoefu wangu hakuna gharama kubwa, kuna jamaa angu katumia M-pesa kuagiza mzigo wa 1.8m hakuna makato yakutisha!
huyo hajui rate ,voda wanakata 10% ya pesa unalipia mmi ni expert long time sana mwanzo ilikuwa 5% now 10 huoni ni kubwa???Mimi kwa uzoefu wangu hakuna gharama kubwa, kuna jamaa angu katumia M-pesa kuagiza mzigo wa 1.8m hakuna makato yakutisha!
mfano 1,000,0000 ten % ni 100,000 hayo ni makato tu ya m pesa visa card ni gharama kubwa sana,bank sijawai tumia ndo nataka nifuatilie na mitandao mingine cjui wanakata asilimia ngapWalikata tsh ngapi?
mmi ndo nakuambia,wapigue vida cm kma huamuni,mmi nilienda hadi vida shop maana nilishtua ndo cm ikapigwa makao makuu nikaambiwa mwanzo ulikuwa 5% sasahivi ni 10% piga cm voda hapo watakujibuSidhani kama inakuwa kubwa kiasi hicho!
makato yao ni % ngapiNenda bank NMB, ukiwa na nida au namba ya nida na tsh elf 10. Omba upewe prepaid card. Ni safe na rahisi sana, mi binafsi ndio naitumia kufanyia miamala ya huko, aliexpres, ebay, amazon etc.
Ukishapata card yako, log kwenye aliexpress au ebay payment options select mastercard. Ingiza namba ya card yako, expire date, cvv. Basi umemaliza ukienda kufanya malipo card yako ndio itakua inatoa ela. Hivyo tu