Msaada jinsi ya kufanya mapishi yanukie

Msaada jinsi ya kufanya mapishi yanukie

Vumbi la congo

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2018
Posts
666
Reaction score
981
Wataalam wa mapishi naomba mnielekeze mbona nikila sehem za watu vyakula vyao vinanukia na vina ladha safi,,au unakuta unapita sehemu unasikia mtu anaunga mboga inanukia balaa mpaka hamu ya kula inakushika,,je huwa wanatumia viungo gan kwenye mapishi yao,,maana kila nikijitahidi kuungurumisha geto naishia kuunguza vitunguu,.je ni viungo gani muhimu vya kunukiza mapishi
 
nenda kwenye maduka ya wahindi my dear..nunua simba 2 ya India nunua iliki ya India.yenyew huwa nene ya Tz nyembemba.. nununa mchuzi mix ya India..

uje ulete mrejesho hapa😊...bei zao zimechangamka.. kilo 1 ya ilik nahis nw km sikosei 30.. wewe waambie kila kiungo wakupe in grams😊..
 
Simba ni nini?
 
Binafsi Mboga haikosi kitunguu Swaumu labda Mboga ya Majani halafu unaweza weka coriender,celery na leeks kuongeza ladha( zinapatikana masoko makubwa),wali - Nazi+ iliki+ njegere kidogo,carrot na hoho,ila kama we ni me huwezi we endelea tu kukorogakoroga mpaka ukioa ndio utainjoi
 
Duuu kwa pishi hili lazima unitoe kitambi coz nitakula mpk basi
 
Mjomba aliponioa alikuwa flat miez kadhaa mwili ukakubali kitambi kule ila sasa maramojamoja nampikia mchemsho maana akiendelea kujaza atapunguza ufanis
 
Ndugu wew changanya changanyaaa.... Harufu inakuja yeeeenyeeewee
 
Mjomba aliponioa alikuwa flat miez kadhaa mwili ukakubali kitambi kule ila sasa maramojamoja nampikia mchemsho maana akiendelea kujaza atapunguza ufanis
[emoji1] [emoji1] yaa kunako kona ya kitanda ufanisi utapungua ila kama ni mtu wa tiz fresh tu.
 
Binafsi Mboga haikosi kitunguu Swaumu labda Mboga ya Majani halafu unaweza weka coriender,celery na leeks kuongeza ladha( zinapatikana masoko makubwa),wali - Nazi+ iliki+ njegere kidogo,carrot na hoho,ila kama we ni me huwezi we endelea tu kukorogakoroga mpaka ukioa ndio utainjoi
Kitunguu saum kinasaidia sana kwenye kusimamia shoo muda mrefu
 
Binzari nyembamba, carafuu, iliki, mdalasini,

Nyama: chemsha na kitungu swaumu, gangawizi, limao na chumvi kidogo - pili pili kama ni mlaji, unga na kitunguu maji, nyanya, binzari nyembamba au hoho.

Maharage, weka iliki baada ya tui la nazi
 
Back
Top Bottom