Msaada jinsi ya kufuga "kanga"

Msaada jinsi ya kufuga "kanga"

Mwamba1961

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2016
Posts
626
Reaction score
409
Habari zenu,

Naombeni msaada ,Ni njia gani za kufanya ili niweze kufuga KANGA kwenye banda la kuku ??

Na nitarajie changamoto gani na ninazikabili vipi ??

Wadau karibuni kwa majibu.....
 
Changamoto ni kwamba Kanga hawaelewani na baadhi ya kuku hasa kuku wenye vihelehele.

Changamoto ya pili Kanga akitaga haatamii. So mpaka mayai umwekee kuku ndo atotoe.

Changamoto ya tatu utapaswa ununue au ulime majani au mboga za majani maana kanga wanapenda sana majani majani.

Uzuri wao hawaugui hasa wakipata majani mara kwa mara

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni baada ya muda gani natakiwa kuachia kanga wajitaftie wenyewe chakula. Maana naona ni tofauti sana na kuku. Wanaogopa sana watu. Nikiwaachia hawawezi kukimbia kweli?
 
Unawapunguza mabawa ili wasiruke kwenda mbali
 
Changamoto ni kwamba Kanga hawaelewani na baadhi ya kuku hasa kuku wenye vihelehele.

Changamoto ya pili Kanga akitaga haatamii. So mpaka mayai umwekee kuku ndo atotoe.

Changamoto ya tatu utapaswa ununue au ulime majani au mboga za majani maana kanga wanapenda sana majani majani.

Uzuri wao hawaugui hasa wakipata majani mara kwa mara

Sent using Jamii Forums mobile app
Changamoto ya 4 Kanga hapendi kutaga ndani au kweupe. Ana taga vichakani au kwenye mifensi na anaficha Mayai. Mbwa au Wanyama wengine huyala. au binadamu wadokozi huiba. Kama una uzio sawa.
 
Hata ndani wanataga kuwawekea mazingira TU huko ndani
 
Mimi nauliza yai linachukua muda gani kuharibika
 
Kanga wana kelele dah!!! Tena mida yao ni usiku mkilala ndio wanaanza....wanaudhi hiyo tabia.
 
Back
Top Bottom