Mwamba1961
JF-Expert Member
- Dec 10, 2016
- 626
- 409
Ni baada ya muda gani natakiwa kuachia kanga wajitaftie wenyewe chakula. Maana naona ni tofauti sana na kuku. Wanaogopa sana watu. Nikiwaachia hawawezi kukimbia kweli?Changamoto ni kwamba Kanga hawaelewani na baadhi ya kuku hasa kuku wenye vihelehele.
Changamoto ya pili Kanga akitaga haatamii. So mpaka mayai umwekee kuku ndo atotoe.
Changamoto ya tatu utapaswa ununue au ulime majani au mboga za majani maana kanga wanapenda sana majani majani.
Uzuri wao hawaugui hasa wakipata majani mara kwa mara
Sent using Jamii Forums mobile app
Unawapunguza mabawa ili wasiruke kwenda mbaliNi baada ya muda gani natakiwa kuachia kanga wajitaftie wenyewe chakula. Maana naona ni tofauti sana na kuku. Wanaogopa sana watu. Nikiwaachia hawawezi kukimbia kweli?
Changamoto ya 4 Kanga hapendi kutaga ndani au kweupe. Ana taga vichakani au kwenye mifensi na anaficha Mayai. Mbwa au Wanyama wengine huyala. au binadamu wadokozi huiba. Kama una uzio sawa.Changamoto ni kwamba Kanga hawaelewani na baadhi ya kuku hasa kuku wenye vihelehele.
Changamoto ya pili Kanga akitaga haatamii. So mpaka mayai umwekee kuku ndo atotoe.
Changamoto ya tatu utapaswa ununue au ulime majani au mboga za majani maana kanga wanapenda sana majani majani.
Uzuri wao hawaugui hasa wakipata majani mara kwa mara
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata ndani wanataga kuwawekea mazingira TU huko ndaniChangamoto ya 4 Kanga hapendi kutaga ndani au kweupe. Ana taga vichakani au kwenye mifensi na anaficha Mayai. Mbwa au Wanyama wengine huyala. au binadamu wadokozi huiba. Kama una uzio sawa.