msaada:jinsi ya kuhama chuo

ProBook

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2012
Posts
559
Reaction score
264
Heshima kwa wakuu wote wa jukwaa la Elimu,,naomba kujuzwa kama kuna uwezekano wa mtu kuhama chuo ulichopangiwa na TCU na kuhamia kingine kama qualifications zinakubali..na kama inawezekana unaanzia wapi hiyo process ya kuhama..
Shukran sana
 
Yan wenzio hawajapata vyuo,we unataka kuhama?ebu tulia huko huko ulikopangwa.
 
Acha kudanganyika msomi hukomaa siku zote afu huna sababu arifu ucwe dhaifu
 
Heshima kwa wakuu wote wa jukwaa la Elimu,,naomba kujuzwa kama kuna uwezekano wa mtu kuhama chuo ulichopangiwa na TCU na kuhamia kingine kama qualifications zinakubali..na kama inawezekana unaanzia wapi hiyo process ya kuhama..
Shukran sana

nenda chuo unachotaka kuamia angalia kama kozi unayotak ina nafac, ukishaipata nenda TCU uombe wakufanyie transfer ya jina. Sema itakuchukua mda c unajua utendaji wa nchi ye2?
 
ni kwamba hcho chuo ulichopangwa hakina degree program unayo taka au haujapendezewa na jina la chuo..?
 
Asante sna kwa ushauri
nenda chuo unachotaka kuamia angalia kama kozi unayotak ina nafac, ukishaipata nenda TCU uombe wakufanyie transfer ya jina. Sema itakuchukua mda c unajua utendaji wa nchi ye2?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…