jf
habar mm ni mwanachuo wa mwaka wa kwanza hapa moshi bt nina matatizo
na hali ya hewa iliyoniletea matatizo kiafya naomba ushaur ni jinsi gan
naweza kuhamia vyuo vya UDSM,DUCE, chuo cha kiislam morogoro kusoma
Education pasipo kuharbu masuala ya mkopo? nateseka jaman moro kuna hospital Ifakara ilinitibu kwa mafanikio na nahis napaswa kusoma moro ili niwe jiran. DSM kuna MNH pia si mbal na Ifakara