Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
naomba kwa yoyote anayefahamu utaratibu wa kuhama shule maana nimeapangiwa tambaza comb ya cbg nina , hata ivo cpo vizuri katika geog, mimi naitaji nihame niende minaki kusoma pcb, je inawezekana nikafanikiwa kuhama kabla ya kuingia shule?
Jamani wakuu limenikuta tatizo kama la ndugu hapo mimi nimefaulu masomo pcb eti wamenipanga hgl wakati hayapo ata moyoni kabisa nisaidieni ndugu zanguni!
Ni Lazima ukaripoti katika shule uliyopangiwa ndipo mchakato wa kuhama uanze.. Kwa sababu wizara haihusiki na uhamisho, so nenda ukafuate mchakato kuanzia kwa headmaster->afsa elimu e.t.c..
Inawezekana tena ukiwa na refariii ndo mapemaaa zaidi
Lzma urpoti kwanza unless tafta referee akusontee mbona fast 2