Msaada jinsi ya kuhama shule a-level

kikwega

New Member
Joined
May 21, 2013
Posts
4
Reaction score
0
naomba kwa yoyote anayefahamu utaratibu wa kuhama shule maana nimeapangiwa tambaza comb ya cbg nina , hata ivo cpo vizuri katika geog, mimi naitaji nihame niende minaki kusoma pcb, je inawezekana nikafanikiwa kuhama kabla ya kuingia shule?
 
Inawezekana tena ukiwa na refariii ndo mapemaaa zaidi
 
Jamani wakuu limenikuta tatizo kama la ndugu hapo mimi nimefaulu masomo pcb eti wamenipanga hgl wakati hayapo ata moyoni kabisa nisaidieni ndugu zanguni!
 
Inawezekana! But rahis zaidi kama iyo shule uliopangwa ina yiho comb unayotaka kusoma ipo yani ni kitendo cha kumwambia head master/mistres na unabadilisha hapo hapo.
 
naomba kwa yoyote anayefahamu utaratibu wa kuhama shule maana nimeapangiwa tambaza comb ya cbg nina , hata ivo cpo vizuri katika geog, mimi naitaji nihame niende minaki kusoma pcb, je inawezekana nikafanikiwa kuhama kabla ya kuingia shule?

Jamani wakuu limenikuta tatizo kama la ndugu hapo mimi nimefaulu masomo pcb eti wamenipanga hgl wakati hayapo ata moyoni kabisa nisaidieni ndugu zanguni!

Ni Lazima ukaripoti katika shule uliyopangiwa ndipo mchakato wa kuhama uanze.. Kwa sababu wizara haihusiki na uhamisho, so nenda ukafuate mchakato kuanzia kwa headmaster->afsa elimu e.t.c..
 
Aisee ndugu hapo muda sindo unasogea sasa nani bongela process?
 
Ni Lazima ukaripoti katika shule uliyopangiwa ndipo mchakato wa kuhama uanze.. Kwa sababu wizara haihusiki na uhamisho, so nenda ukafuate mchakato kuanzia kwa headmaster->afsa elimu e.t.c..

hili ndo jibu sahihi.ila mkifungua tu anza proces isije kuleta shida kama jamaa yangu mpaka akarudia darasa sababu walimpeleka pcb akaomba kuhama pcm akahamishwa ,badae wakasema arud pcb,walimchanganya had necta hakufanya.
 
shulen kwe2 n janga, 29 dents 2meenda mwakaleli, japo 2likuwa 2natak science subjects wote 2meenda HGE.
 
nimechaguliwa HGL ambayo nna point 11 wakat CBG nna point 10 nahata iyo shule nayoenda hakuna hata comb ya sayanc du naomba ushaur wenu majanga tu
 
Ndugu kuhama combi art kwenda science si inawezekana?maana masomo ya science nimefaul kuliko yale ya art waliyonipanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…