Binti1
JF-Expert Member
- Jul 8, 2013
- 667
- 1,760
Habarini wapendwa.Naomba mnisaidie vile ninaweza kuhifadhi vegetables kwenye friji zikae muda mrefu bila kuharibika wala kusinyaa.
Vitu kama hoho,carrots,zuchinni,nyanya huwa natumiwa sasa havikai muda mrefu vinaharibika.Sielewi kama temperature hua haiko sawa au naviweka vibaya.
Natanguliza shukrani.Naamini uzoefu wenu utakua somo zuri kwangu na wengine pia.