Habarini wapendwa.Naomba mnisaidie vile ninaweza kuhifadhi vegetables kwenye friji zikae muda mrefu bila kuharibika wala kusinyaa.
Vitu kama hoho,carrots,zuchinni,nyanya huwa natumiwa sasa havikai muda mrefu vinaharibika.Sielewi kama temperature hua haiko sawa au naviweka vibaya.
Natanguliza shukrani.Naamini uzoefu wenu utakua somo zuri kwangu na wengine pia.
Usiweke moja kwa moja, chukua carrots weka mfuko, hoho kwenye mfuko wake alaf weke kwenye fridge.
Asante sana my dear,I did just that na vimekaa naona viko poa bado.Na hata njegere nilikua nikiweka siku mbili tu zinaota ila kumbe ukiziweka kwenye maji yalochemka kwa dk kadhaa hazioti zinakaa muda mrefu!Hizi tips zimenisaidia mno

wala usichemshe weka njegere kwenye mfuko wa nailoni/plastic kisha ziweke pale juu kwenye kafreezer unaweza tumia mpaka miezi miwili umeme usipokatika.
Je mchicha au matembele waweza yahifadhi vpi??