captain 21 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2021 Posts 585 Reaction score 1,185 Feb 13, 2022 #1 Habari zenu za muda huu wakuu? Naomba nipate uhakika ni hiki ninachofikiria. Kwenye Kipengele cha "Job Preference" unapojaza form ya TaESA ni sahihi kwamba unatakiwa ujaze kazi ambazo ungependa kuzifanya kutokana na taaluma yako?
Habari zenu za muda huu wakuu? Naomba nipate uhakika ni hiki ninachofikiria. Kwenye Kipengele cha "Job Preference" unapojaza form ya TaESA ni sahihi kwamba unatakiwa ujaze kazi ambazo ungependa kuzifanya kutokana na taaluma yako?
Chabrosy JF-Expert Member Joined Feb 12, 2018 Posts 2,632 Reaction score 3,150 Feb 13, 2022 #2 Jibu unalo ilo fanya hivyo jaza kazi unazopenda fanya.
captain 21 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2021 Posts 585 Reaction score 1,185 Feb 13, 2022 Thread starter #3 Chabrosy said: Jibu unalo ilo fanya hivyo jaza kazi unazopenda fanya. Click to expand... Pamoja mkuu