kama kichwa kinavojieleza hapo juu
nahitaj kufaham jinsi ya kuwa na Verified Account ya Bet365
1.Vigezo vyao na mashart
2.Vitu vinavyoitajika ili kujiunga
3.Jinsi ya kuweka hela
4.Jinsi ya kutoa hela
5.Bank nzur ya kutumia
Nna Imani na watu wa jamii forum