Msaada jinsi ya kujiunga na Paypal

Msaada jinsi ya kujiunga na Paypal

Ubi

Member
Joined
Jan 18, 2012
Posts
23
Reaction score
2
Ndugu wana Jf,naomba msaada wa kuelekezwa jinsi ya kujiunga na Paypal.
 
Ndugu wana Jf,naomba msaada wa kuelekezwa jinsi ya kujiunga na Paypal.
Tuwasiliane. Naifahamu vizuri hii kitu. Gharama ya kukusaidia( technical know how) ni shilingi 22,000/-
 
Tuwasiliane. Naifahamu vizuri hii kitu. Gharama ya kukusaidia( technical know how) ni shilingi 22,000/-

Hahahaha, dah watu noma. Tulia Ubi, search humu JF kuna thread zaidi ya nne zinaelezea hii kitu.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom