Msaada jinsi ya kujiunga na space twitter

Msaada jinsi ya kujiunga na space twitter

Kwanza follow huyo anayeanzisha mada,au nenda kwenye profile yako chini kabisa Kuna neno space then click hapo utakuta space nyingi tu wewe kachague inayokuhusu kama waswahili nenda kwa waswahili
 
Back
Top Bottom