Mkuu wire transfer huwa hujiungi nayo. Ila hii unakuwa na pesa zako bank unaiamuru (you order) bank kufanya wire transfer kwa niaba yako. Wenyewe wakiita TT - telegraphic transfer.
Kwa njia hiyo utaweza kufanya malipo bila wewe kuwapo physically kupitia kwenye account ya bank ya muuzaji.