Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
Mwwnye ujuzi tafadhali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zikaushe juani kwanza kisha ukaange kwenye frying pan au sufuria kavu..add salt basi . sasa inategemea matumizi yako ni kwa ajili ya nini ila kama ni kwa ajili ya kuboost maziwa mlaji anaweza zimenya akala ile nut ya ndani au ukazisaga kwa blender ya vitu vikavu bila kuzimenya na ukamix kwa uji au mtori wa moto.Mwwnye ujuzi tafadhali
ili zioteunakaanga ili iweje?
Shukran mkuu mm nilihitaj kutafuna tu....Zikaushe juani kwanza kisha ukaange kwenye frying pan au sufuria kavu..add salt basi . sasa inategemea matumizi yako ni kwa ajili ya nini ila kama ni kwa ajili ya kuboost maziwa mlaji anaweza zimenya akala ile nut ya ndani au ukazisaga kwa blender ya vitu vikavu bila kuzimenya na ukamix kwa uji au mtori wa moto.
i hope u will find it helpful[emoji12]
Mmh kutafuna tu? Nasikia zinaongeza wingi wa sperm piaShukran mkuu mm nilihitaj kutafuna tu....
Kumbeee!!!!! Ulishawahi tafuna nn mkuu?Mmh kutafuna tu? Nasikia zinaongeza wingi wa sperm pia
😀😀😀Kumbeee!!!!! Ulishawahi tafuna nn mkuu?
Mkuu zinakaushwa , zinasagwa na kuungia mboga au zenyewe tu zinakaangwa na kuwekwa chumvi zinatafunwa,Kumbeee!!!!! Ulishawahi tafuna nn mkuu?
hii pia najua..😀😀😀
Mi nshawahi kula ili niwe na maziwa mengi
mboga? hili jipya kwangu. je natumia mbadala wa karanga? kwenye mboga gani?Mkuu zinakaushwa , zinasagwa na kuungia mboga au zenyewe tu zinakaangwa na kuwekwa chumvi zinatafunwa,
Bas sawa....ulizipikaje sasa?😀😀😀
Mi nshawahi kula ili niwe na maziwa mengi
Unakaanga NA mafuta au? Je nikimix NA karanga kisha nikakaanga VP?😀😀😀
Mi nshawahi kula ili niwe na maziwa mengi
Mi nlikua za kuchemsha, kuna mdau hapo juu kishakuelekeza MarcoUnakaanga NA mafuta au? Je nikimix NA karanga kisha nikakaanga VP?