Habari za muda huu, naomba niende moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu, naomba msaada wenu kwa wale mafundi wa playstation 4, jinsi ya kukaba kwenye fifa 24 au 23, nimegundua nikiwa nacheza hili game wachezaji wangu hawakabi, ni kama wanamsindikiza mchezaji mpaka golini, nimejaribu kuangalia tutorial mbalimbali youtube lakini bado napata shida.
Kiufupi niko vizuri kwenye kupiga pasi na kushinda nikiwa na mpira, tatizo linakuja kwenye kuupata mpira nikiwa nimeupoteza..nimejaribu pia kuweka settings kama tactical defending na legacy lakini naona mambo ni yaleyale, wachezaji hawafiki miguuni kwa mtu, wanamuangalia tu hadi nafungwa!!
Natumia controller settings za zamani kama ps2,
X pass
O sliding tackle
[] shoot
/\ through ball
Nakaribisha mawazo yenu wakuu.