Aman peaceful
Member
- Mar 2, 2018
- 89
- 63
Wiper za nini sasa?Jiamin, ni simpo sana. Ila kama ukipata emergency yyte ng'ang'ania breki na usukani na wiper ndio mkombozi wako. Kila la kheri
Mkuu Asante sana kwa darasa hili maridhawa! automatic nimeshaiweza! ntajifunzia mtaani hiyo manual na ninashukur kwa mapendekezo yako!Mkuu vipi automatic unaweza kuiendesha?unajifunzia chuo au mtaani? Kama ni chuo ukienda uko utapata maelekezo na mafunzo yote. Ila kama ni mtaani Tafuta dereva mzuri akufundishe na sehemu nzuri ya kujifunzia anzia kwenye kiwanja kikubwa kidogo kilicho wazi nikimaanisha kisiwe na miti mingi n.k. anza kwa kuzunguka uwanja huo mara nyingi kadri uwezavyo ukitembelea gia namba moja na mbili...
hahaa shukran mkuu kwa kunionesha hadi umuhim wa wiper!Jiamin, ni simpo sana. Ila kama ukipata emergency yyte ng'ang'ania breki na usukani na wiper ndio mkombozi wako. Kila la kheri
hamna mkuu! nipo chuo cha mtaan!Nenda chuo bhana unataka tule wapi aiseee au dharau unaleta???
Shukran mkuu! taratibu nitaanza kujifunza!manual haina ugumu wowote zaidi ya watu kuukuza... kuendesha gari ni mojawapo ya kazi rahisi sana duniani ndio maaana hata daktari au director, ceo anajiendesha na akifika hospitali au ofisini kwake anaanza fanya majukumu yake ya u ceo au udaktari
Ni muhimu sana hyo mkuu[emoji13] [emoji13] [emoji13]hahaa shukran mkuu kwa kunionesha hadi umuhim wa wiper!
daaah! hii mpya!Wiper za nini sasa?
Ziliwekwa za nn mkuu, kila kitu ni kwenye gari ni muhimu katoka kuzuia ajali...hata rangi ya gari tu!Wiper za nini sasa?
[emoji12] [emoji23]Ni muhimu sana hyo mkuu[emoji13] [emoji13] [emoji13]
hapo kwenye timing ya gia mkuu ningependa kupata elimu zaidi!Mkuu vipi automatic unaweza kuiendesha?unajifunzia chuo au mtaani? Kama ni chuo ukienda uko utapata maelekezo na mafunzo yote. Ila kama ni mtaani Tafuta dereva mzuri akufundishe na sehemu nzuri ya kujifunzia anzia kwenye kiwanja kikubwa kidogo kilicho wazi nikimaanisha kisiwe na miti mingi n.k. anza kwa kuzunguka uwanja huo mara nyingi kadri uwezavyo ukitembelea gia namba moja na mbili...
Hakikisha hukanyagi chochote kati ya hivyo vitatu.Ndugu wana JF.
Hivi karibuni nitaanza kujifunza kuendesha manual car! Msaada wenu tafadhali kwenye vitu muhimu vya kuzingatia hasa C-B-A (Clutch-Brake-Accelerator).
Nawasilisha.
Sasa wiper zinahusiana nini na emergency ya gari?Ziliwekwa za nn mkuu, kila kitu ni kwenye gari ni muhimu katoka kuzuia ajali...hata rangi ya gari tu!
Asante mkuu kwa tahadhari!Hakikisha hukanyagi chochote kati ya hivyo vitatu.
Jifunze kuuliza maswali yanayoeleweka ili ujibiwe kiufasaha
Kama unaweza kuendesha Automatic basi kwenye manual nenda kwenye miinuko sehemu ambapo ukiachia brake gari inarudi nyuma.Hapo jifunze kubalance brake,MOTO na clutch.Ndugu wana JF.
Hivi karibuni nitaanza kujifunza kuendesha manual car! Msaada wenu tafadhali kwenye vitu muhimu vya kuzingatia hasa C-B-A (Clutch-Brake-Accelerator).
Nawasilisha.
nitaleta mrejesho mkuu! asante!Kama unaweza kuendesha Automatic basi kwenye manual nenda kwenye miinuko sehemu ambapo ukiachia brake gari inarudi nyuma.Hapo jifunze kubalance brake,MOTO na clutch.
Usilazimishe kukalili jinsi ya kuondoka,KIKUBWA ISIKILIZE GARI INATAKA GEAR NO NGAPI.
Utazoea tu muda sio mrefu hata mlimani unasimama kwa kutumia clutch na moto bila brake.