Msaada: Jinsi ya Kumaster Manual Car!

Asante sana mkuu kwa kunionesha mwanga hasa hapo kwenye gia!
 
duuh ful mauzoefu hapa naona mkuu
 
Hii labda aazime coaster ya t/kimanga afanyie mazoezi kilima cha kuelekea aroma pale maana kunakuwaga na jam si mchezo!
 
Mimi waendesha Manual wananiacha hoi pale anapokuwa anarudi nyuma,halafu gari likiwa bado kwenye motion ya kurudi nyuma anabadilisha gear na kuiweka gear namba 1,then anakanyaga accelerator na gari lina enda mbele..
hahaa manual trans. ni ful mitego mkuu na ndio maana ninahitaji msaada mkuu
 
kwa kweli mkuu hapo ndo panaponiumiza kichwa!
Usiumize kichwa CHUKUA HII.
Manual ya diesel na petrol zina utofauti huu,Diesel balance yake sio ya timing sana kama ya petrol.
Diesel hata ukichelewa kukanyaga moto haizimi haraka kama petrol.
HAKIKISHA UNAJIFUNZIA MANUAL YA PETROL,HII INA CHANGAMOTO YA KUZIMA GARI NA KURUDI REVERSE.UKIWEZA KUBALANCE MOTO KWENYE GARI YA PETROL NINA HAKIKA GARI YA DIESEL ITAKUWA MTEREMKO TU.
 
Hii ndio ilinishinda, nakumbuka tulikuwa na gari ya tatu manual kwa ajili ya maza toyota sprinter mayai ilinunuliwa mwaka 2002 home. Katika kuiosha nikawa najifunza kuendesha kibishi aisee ilikuwa inazima zima na kustuka balaa . Hadi nikakata tamaa!

Ila juzi kati nikakamata nissan cube, tupiamo D mafuta kidogo naona kitu kinateleza tu nikiona jam nabonyeza brake nasimama. Sasa nimehamia kwenye isis hata Mwanza nafika bila shida. Ni mwendo wa D,P,N,R
 
ACHANA NA UBISHI WA BARABARANI LETE SKILLS ZA KUENDESHA GARI MANUAL.TATIZO V..A INAWAKALIKISHA,HAMJUI LOLOTE.SAFARI NDEFU ULIYOWAHI KUTEMBEA NI KM 200 EXPERIENCE UTAIPATA WAPI?

Ama kweli jambo usilolijua ni kama usiku wa giza. Hizo KM ulizitaja ndio umbali ninaokwenda kunywa bia kila weekend achilia mbali KM 100 za kila siku mara 3 au 4 kwa wiki.

Experience niliyonayo ni ya kimataifa sio ya Mwanza Tarime. na huwa napenda kujiwekea record na kuzivunja mwenyewe.

Kwa taarifa yako, mimi sio dereva wa kuendesha magari ya watu kama wewe. naendsha gari yangu binafsi hivyo lazima nifuate ushauri wa wataalaamu ukuizingatia kwamba spea zake ni ghari sana kwahiyo nikiambiwa haitakiwi kusimama kwenye mpando kwa kutumila clutch na accelerator lazima nizingatie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…