Msaada: Jinsi ya Kumaster Manual Car!

Bwana mdogo ukianza sifa za kumiliki vitu na kujitapa huo ni udada tena ni udem.Sina haja ya kukwambia mali na vitu ninavyomiliki kwa sababu havikuhusu na JF sio mahala pake.
LETE SKILLS ZA KUENDESHA GARI MANUAL MASWALA YA MALI NA MAGARI YAKO MPELEKEE MKEO.
 
Mkuu hakikisha una akili timamu na unafanya maamuzi sahihi, kwa wakati sahihi, maana wakati wa shida hutakua na muda wa kutuuliza hapa JF
 
Naendelea kushukuru kwa majibu yenu murua ndugu wanaJF. hakika nitaleta mrejesho hiv karibun!
 
Mimi siku ya kwanza kujifunza manual tuliingia road moja kwa moja..
 
Mkuu ukiendesha gari ya manual kama week 2 hivi au 3 mfululizo lazima utaimudu tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…