Mkuu ,ununuzi wa hiza wasiliana na stock brokers waliyosajiliwa na Dar es salaam stock exchange kama Tanzania securities ,Orbit ,Rasilimali,Vertex,Zan securities watakusaidia taratibu za kufuata ili uweze kununua hisa.Ila hizo hisa unazozihitaji(za TCC na TBL) ni ngumu kuzipata sokoni.Labda kama kuna member humu anataka kuuza mfanye biashara.
Kila la kheri katika uwekezaji!